Ruwaza Zinazoonekana kama Micoro kwenye Machapisho

Taswira au picha zenye ubainifu wa chini zilichapishwa.

Suluhisho

Wakati unachapisha taswira aui picha, chapisha ukitumia data yenye ubainifu wa juu. Taswira kwenye tovuti huwa na ubainifu wa chini ingawa zinaonekana vyema kidogo zikionyeshwa na kwa hivyo ubora wa uchapishaji unaweza kudorora.