Kwa watumiaji wa Ulaya
Seiko Epson Corporation inatangaza kuwa modeli ifuatayo ya kifaa cha redio inazingatia Maelekezo ya 2014/53/EU. Matini kamili ya azimio la EU la maafikiano linapatikana kayika tovuti ifuatayo.
http://www.epson.eu/conformity
C561D
Kwa matumizi ya Ayalandi, Uingereza, Austria, Ujerumani, Lishenteni, Uswisi, Ufaransa, Ubelgiji, Lusembagi, Uholanzi, Italia, Ureno, Uhispania, Denimaki, Ufini, Norwei, Uswidi, Aisilandi, Kroatia, Kibros, Ugiriki, Slovenia, Malta, Bulgaria, Ucheki, Estonia, Hungaria, Latvia, Lithuania, Polandi, Romani, na Slovakia.
Epson haitakubali wajibu wa kutoridhisha mahitaji ya ulinzi kunakotokana na urekebishaji wa bidhaa ambao haujapendekezwa.
|
Mawimbi |
Nishati ya Mawimbi ya Redio ya juu zaidi Yanayopeperushwa |
|
2400–2483.5 MHz |
20 dBm (EIRP) |
