> Utambazaji > Kutambaza Nakala Asiili kwenye Wingu

Kutambaza Nakala Asiili kwenye Wingu

Unaweza kutambaza picha kwenye huduma za wingu. Kabla ya kutumia kipengele hiki, fanya mipangilio kwa kutumia kipengele cha Epson Connect. Tazama tovuti ifuatayo ya kituo Epson Connect kwa maelezo.

https://www.epsonconnect.com/

http://www.epsonconnect.eu (Ulaya peke yake)

  1. Hakikisha kuwa umefanya mipangilio ukitumia Epson Connect.

  2. Weka hati halisi.

    Kuweka Nakala Asili

  3. Teua Changanua kwenye paneli dhibiti.

  4. Teua Wingu.

  5. Teua upande wa juu wa skrini, na kisha uteue mafikio.

  6. Weka vipengee kwenye kichupo cha Changanua, kama vile umbizo la kuhifadhi.

    Chaguo za Menyu za Utambazaji

  7. Teua kichupo cha Mipangilio Mahiri, na kisha ukague mipangilio, na uibadilishe ikiwezekana.

  8. Teua kichupo cha Changanua tena kisha udonoe .

Kumbuka:

Rangi, ukubwa, na ukingo wa taswira iliyotambazwa hautakuwa sawa na asili.