
Pakia karatasi katika kichapishi.
Kupakia Karatasi katika Mkanda 1 wa Karatasi
Chomeka kifaa cha kumbukumbu kwenye sloti ya kadi ya SD au kiweko cha USB cha kiolesura cha nje cha kichapishi.
Ikiwa Modi ya Uteuzi Otomatiki katika Vitendaji vya Mwongozo imefunguliwa, ujumbe unaonyeshwa. Angalia ujumbe na uchague kwa kielezo cha kitendaji.
Teua Chapisha Picha kwenye paneli dhibiti.
Teua Chapisha.
Wakati ujumbe unaokuambia kuwa kupakia picha kumekamilika unaonyeshwa, teua Sawa.
Teua picha unayotaka kuchapisha kutoka kwenye skrini inayoonyesha mwonekano wa kijipicha.
Picha iliyoteuliwa ina alama na idadi ya vichapisho (awali 1) kwayo.
Teua
upande wa juu kulia wa skrini ili kuonyesha Teua Menyu ya Picha. Ukibainisha tarehe kwa kutumia Vinjari, picha za tarehe iliyobainishwa pekee zitaonyeshwa.
Ili kubadilisha idadi ya machapisho, Teua Mwonekano Mmoja kisha utumie - au +. Iwapo ikoni hazionyeshwi, donoa mahali popote kwenye skrini.
Teua Mwonekano Mmoja, kisha uteue
ili kuhariri picha ikiwa ni muhimu.
Teua Ifuatayo na uweke mipangilio kwenye kichupo cha Mipangilio Msingi kisha uweke iadai ya nakala.
Teua kichupo cha Mipangilio Mahiri kisha ubadilishe mipangilio inavyohitajika.
Teua kichupo cha Mipangilio Msingi, na kisha udonoe
.
Thibitisha kuwa uchapishaji umekamilika, na kisha uteue Funga.
Iwapo utagundua matatizo ya ubora wa chapisho kama vile kukusanyika pamoja, rangi zisizotarajiwa, au taswira zisizoonekana vizuri, teuaa Utatuzi ili kuona suluhisho.