> Majina na Vitendaji vya Sehemu > Majina na Vitendaji vya Sehemu

Majina na Vitendaji vya Sehemu

Nafasi ya nyuma ya karatasi

Pakia karatasi moja baada ya nyingine kwa mikono.

Kifuniko cha nafasi ya nyuma ya karatasi

Huzuia vitu kuingia kwenye kichapishi. Kila mara kinafaa kufunikwa.

Mwongozo wa ukingo

Huingiza karatasi moja kwa moja hadi ndani ya printa. Telezesha kwenye kingo za karatasi.

Mpenyo wa trei ya CD/DVD

Chomeka trei ya CD/DVD na CD/DVD inayoweza kuchapishwa kwenye mpenyo huu. Mpenyo upo kati ya na trei ya towe.

Trei ya CD/DVD

Unapochapisha kwenye CD/DVD, iondoe kwenye sehemu ya chini ya kaseti ya karatasi ya 2, weka CD/DVD na uiweke kwenye mpenyo wa trei wa CD/DVD.

Wakati huchapishi kwenye CD/DVD, ihifadhi kwenye sehemu ya chini ya kaseti ya karatasi ya 2 bila kuweka CD/DVD.

Kitengo cha kitambazo

Hutambaza nakala za kwanza zilizoingizwa. Fungua ili kubadilisha kisanduku cha ukarabati au kuondoa karatasi iliyokwama. Kwa kawaida kitengo hiki kinafaa kufungwa kila mara.

Kishikizi cha kibweta cha wino

Akinisha vibweta vya wino. Ino unatolewa kutoka kwenye nozeli za kichwa cha kuchapisha chini yake.

Kifuniko cha kikasha cha matengenezo

Ondoa unapobadilisha kisanduku cha matengenezo. Kisanduku cha matengenezo ni chombo kinachokusanya kiwango kidogo zaidi cha wino wa ziada wakati wa usafishaji na uchapishaji.

Paneli Dhibiti

Huashiria hali ya kichapishi na hukuruhusu kufanya mipangilio ya kichapishi.

Unaweza kubadilisha mkao wa paneli dhibiti.

(Kitufe/mwangaza wa nishati)

Huwasha na kuzima kichapishi.

Chomoa waya ya nishati baada ya kuhakikisha kuwa taa ya nishati imezimwa.

Kifuniko cha mbele

Fungua ili kupakia karatasi kwenye mkanda wa karatasi.

Trei ya towe

Hushikilia karatasi zinazotolewa. Unapoanza kuchapisha, trei hii inatolewa kiotomatiki. Iwapo utadonoa Ndiyo kwenye skrini iliyoonyeshwa wakati kichapishi kimezimwa, kitahifadhiwa kiotomatiki. Ili kuhifadhi trei mwenyewe, donoa kwenye skrini ya nyumbani.

Mkanda 1 wa karatasi

Huweka karatasi.

Mkanda 2 wa karatasi

Mwongozo wa ukingo

Huingiza karatasi moja kwa moja hadi ndani ya printa. Telezesha kwenye kingo za karatasi.

Kiendelezi cha mwongozo wa karatasi

Telezesha nje ili kupakia karatasi kubwa kuliko A4.

Jalada la waraka

Huzuia mwangaza wa nje wakati wa utambazaji.

Glasi ya kichanganuzi

Weka nakala za kwanza.

Sloti ya kadi ya SD

Ingiza kadi ya kumbukumbu.

Kituo tayarishi cha USB cha kiolesura cha nje

Huunganisha kifaa cha hifadhi ya nje au kifaa chenye uwezo wa kutumia PictBridge.

Ingilio la AC

Huunganisha waya ya nishati.

Kifuniko cha nyuma

Ondoa wakati unaondoa karatasi iliyokwama.

Kituo tayarishi cha USB

Huunganisha kebo ya USB ili kuunganisha na kompyuta.