> Kunakili > Kunakili Picha

Kunakili Picha

Unaweza kunakili picha kwa urahisi. Unaweza pia kurejesha rangi ya picha zilizofifia.

Chapa mbalimbali > Nakala mbalimbali > Nakili/Rejesha Picha

  • Ukubwa wa chini zaidi wa nakala asili unaweza kunakini ni 30×40 mm.

  • Weka picha kwa umbali wa 5 mm kutoka kwenye alama ya kona ya glasi ya kichapishi. Unaweza kuweka picha nyingi na picha za ukubwa tofauti.

  • Unapoweka picha nyingi, acha nafasi ya angalau 5 mm kati ya picha.

    Ukubwa wa juu: 10×15 cm (4×6 in.)