Vipengee vinavyopatikana kwenye kichupo cha Nakili na kichupo cha Mipangilio Mahiri na kutofautiana kulingana na menyu uliyoteua.
Chaguo za Menyu kwa Kunakili
Hakiki
Huonyesha taswira iliyotambazwa ili kuhakiki matokeo ya nakala.
Nyeusi na Nyeupe
Hunakili nakala asili katika rangi nyeusi na nyeupe (rangi moja).
Rangi
Hunakili nakala asili katika rangi.
(1>Pande 2)
1→Upande 1
Hunakili upande mmoja wa hati halisi kwenye karatasi ya upande moja.
1>Pande 2
Hunakili hati halisi zenye pande mbele kwenye pande mbili za karatasi moja. Teua mwelekeo wa nakala asili na eneo la kuunganisha karatasi.
(Uzito)
Ongeza kiwango cha uzito wakati matokeo ya kunakili yamefifia. Punguza kiwango cha uzito wino unapomwagika.
(Kuza)
Husanidi mgao wa ukuzaji kwa upanuaji au upunguzaji. Teua ukuzaji kutoka kwa menyu kulingana na karatasi na nakala asili ambayo unataka kuchapisha. Unapotumia karatasi ya ukubwa usio wa kawaida, ingiza nambari ya numerali ili kubainisha ukuzaji.
(Mipangilio ya K'si)
Chagua chanzo cha karatasi ambacho unataka kutumia. Teua ili uchague ukubwa wa karatasi na aina ya karatasi uliyopakia.
Kurasa Nyingi
Ukurasa Mmoja
Hunakili hati halisi zenye pande mbili kwenye karatasi moja.
2-juu
Hunakili hati halisi zenye pande mbili kwenye karatasi moja yenye mpangilio wa 2-up.
Zima
Hunakili ukurasa mmoja unaotazamana wa kitabu kwenye upande mmoja ya karatasi. Menyu hii inaonyeshwa kwenye menyu ya Nakala ya kitabu pekee.
2-juu
Hunakili kurasa mbili zinazotazamana za kitabu kwenye upande mmoja wa karatasi. Menyu hii inaonyeshwa kwenye menyu ya Nakala ya kitabu pekee.
Ubora
Teua ubora wa nakili. Kuteua Juu hutoa uchapishaji wa hali ya juu zaidi, lakini kasi ya uchapishaji huenda ikawa ya chini. Iwapo uanataka kuchapisha kwenye karatasi tupu ukitumia ubora wa juu zaidi, teua Bora. Kumbuka kwamba hii inaweza kupungua mno kasi ya kuchapisha.
Ondoa Mand'yuma
Hutambua rangi ya karatasi (rangi ya mandharinyuma) ya waraka asili, na kuondoa au kuweka rangi kuwa hafifu. Kulingana na uzito na uwazi wa rangi, huenda isiondolewe au kutokuwa nzito.
Upanuzi
Kwa kunakili bila mpaka, taswira inakuzwa kiasi ili kuondoa mipaka kutoka kwa kingo za karatasi. Teua kiwango cha kukuza taswira.