Rejesha

Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.

Mipangilio > Rejesha

Mipangilio ya Mtandao

Huweka upya mipangilio ya mtandao kwa chaguo msingi.

Zote isipokuwa Mipangilio ya Mtandao

Hurejesha mipangilio yote isispokuwa ya mipangilio ya mtandao kwa changuomsingi zao.

Mipangilio Yote

Huweka upya mipangilio yote kwa chaguo msingi.