Ukimpatia mtu mwingine printa au kuitupa, futa taarifa yote ya kibinafsi iliyowekwa katika kumbukumbu ya printa kwa kuchagua Mipangilio > Rejeza Mipangilio Chaguo-msingi > Mipangilio Yote katika paneli dhibiti.