Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.
Mipangilio > Mipangilio ya Mtandao
Mipangilio ya Mtandao
Usanidi wa Wi-Fi
Sanidi au badilisha mipangilio ya mtandao wa pasi waya. Chagua mbinu ya muunganisho kutoka kwa zifuatazo na kisha ufuate maagizo kwenye paneli dhibiti.
Wi-Fi (Inapendekezwa)
Sogora ya Kusanidi Wi-Fi
Sukuma Kitufe cha Usanidi (WPS)
Nyingine
Usanidi Msimbo PIN (WPS)
Unganisha Wi-Fi Kiotomatiki
Lemaza Wi-Fi
Wi-Fi Direct
Mbinu Nyingine
iOS
Vifaa Vingine vya OS
Menu
Badilisha Jina la Mtandao
Badilisha Nywila
Lemaza Wi-Fi Direct
Rejeza Mipangilio Chaguo-msingi
Hali ya Mtandao
Huonyesha au huchapisha mipangilio ya sasa ya mtandao.
Hali ya Wi-Fi
Huonyesha maelezo ya mtandao (jina la kifaa, muunganisho, nguvu ya ishara, na zaidi) kwa miunganisho ya Wi-Fi.
Hali ya Wi-Fi Direct
Huonyesha iwapo Wi-Fi Direct imewezeshwa au kulemazwa, na SSID, nywila zaidi kwa miunganisho ya Wi-Fi Direct.
Chapisha Karatasi ya Hali
Huchapisha laha la hali ya mtandao. Maelezo ya Wi-Fi, Wi-Fi Direct, na kadhalika yamechapishwa kwenye kurasa mbili au zaidi.
Ukaguzi wa Muunganisho
Huangalia muunganisho wa mtandao wa sasa na kuchapisha ripoti. Ikiwa kuna matatizo yoyote ya muunganisho, kagua ripoti ili utatue tatizo.