Kuchapisha Taswira fifi

Unaweza kuchapisha taswira fifi kama vile (Ya Siri) kwenye uchapishaji wako. Pia unaweza kuongeza taswira fifi yako mwenyewe.

Kumbuka:

Kipengele hiki hakipatikani na uchapishaji usio na mipaka.

Fikia kiendeshi cha printa, na kisha weka mipangilio ifuatayo.

Kichupo cha Chaguo Zaidi > Vipengele vya Taswira fifi > Taswira fifi