Ikiwa ulitumia Wi-Fi (LAN isiotumia waya) lakini uhitaji tena kufanya hivyo kwa sababu ya mabadiliko katika hali ya muunganisho na kuendelea, unaweza kulemaza muunganisho wako wa Wi-Fi.
Kwa kuondoa ishara zisizohitajika za Wi-Fi, unaweza pia kupunguza mzigo kwenye nishati yako ya kusubiri.
Donoa
kwenye skrini ya nyumbani ya printa.
Teua Wi-Fi (Inapendekezwa).
Teua Badilisha Mipangilio.
Teua Nyingine.
Teua Lemaza Wi-Fi.
Fuata maagizo ya kwenye skrini.