Suluhisho
Teua menyu ya Matengenezo > Ulainishaji Kichwa > Ulainishaji Wima kwenye paneli dhibiti ili kuoanisha kichwa cha kuchapisha.
Suluhisho
Iwapo ubora wa chapisho hautaimarika hata baada ya kulinganisha kichwa cha kuchapisha, teua Mipangilio > Mipangilio ya Printa kwenye paneli dhibiti kisha ulemaze Mwelekeo.
Wakati wa uchapishaji wa pande mbili (au kasi ya juu), kichwa cha kuchapisha huchapisha kikisogea pande zote mbili, na mistari wima huenda ikakosa kulingana. Kulemaza mpangilio huu huenda kukapunguza kasi ya kuchapisha.