> Kutatua Matatizo > Ubora wa Kuchapisha, Kunakili na Kutambaza ni wa Chini > Ubora wa Nakala ni wa chini > Kingo za Taswira Zinapogolewa Wakati wa Kuchapisha Bila Mipaka

Kingo za Taswira Zinapogolewa Wakati wa Kuchapisha Bila Mipaka

Kwa sababu taswira imepanuliwa kidogo, sehemu inayochomoza inapogolewa.

Suluhisho

Teua mpangilio mdogo wa upanuaji.

  • Kunakili Picha

    Teua Chapa mbalimbali > Nakala mbalimbali > Nakili/Rejesha Picha > Mpangilio wa Mpaka > Isiyo na mipaka kwenye paneli dhibiti kisha ubadlishe mipangilio ya Upanuzi.

  • Unakili usio na Mipaka

    Teua Chapa mbalimbali > Nakala mbalimbali > Nakala Isiyo na mipaka > Mipangilio Mahiri > Upanuzi kwenye paneli dhibiti kisha ubadlishe mipangilio.