Ikiwa ujumbe wa tatizo utaonyeshwa kwenye skrini ya LCD, fuata maelekezo kwenye skrini au suluhu zilizo hapa chini kutatua tatizo.
|
Ujumbe wa Hitilafu |
Suluhisho |
|---|---|
|
Mchanganyiko wa anwani ya IP na Barakoa ya Subnet si sahihi. Angalia nyaraka zako kwa maelezo zaidi. |
Ingiza anwani sahihi ya IP au kichanganishi chaguo-msingi. Wasiliana na mtu aliyesanidi mtandao kwa usaidizi. |
|
Wino umepungua. |
Unaweza kuendelea kuchapisha hadi usituliwe ii kubadilisha vibweta cha wino. Hata hivyo, kumbuka kwamba kichapishi hakiwezi kuchapisha ikiwa mojawapo ya vibweta vya wino kimetumika. Andaa vibweta vipya haraka iwezekanavyo. Wakati wino mweusi unapungua na kuna wino wa kutosha wa rangi, angalia yafuatayo. Endelea Kuchapisha ili Kuhifadhi Wino Mweusi (kwa Windows Pekee) |
|
Vibweta vya wino vinaishiwa na wino. Huenda kazi ya kuchapisha isikamilike. |
Teua Endelea kuchapisha au Badilisha kabla ya kuchapisha. Unapoteua Endelea kuchapisha, kichapishi kinaweza kusitisha uchapishaji kikiashiria kuwa ni wakati wa kubadilisha katriji ya wino. Katika hali hii, fuata suluhu zilizo hapa chini.
Kichapishi kinapositisha wakati wa kunakili likiashiria kuwa ni wakati wa kubadilisha katriji, nakala asili kwenye kioo cha kitambazaji kinaweza kuhamishwa unapofungua na kufuna kitengo cha kitambazaji ili ubadilishe katriji. Weka nakala asili kwa kuipangilia kwa alama ya kona kwenye kioo cha kitambazaji, na kisha uanze kunakili. |
|
Unahitaji kubadilisha zifuatazo vibweta vya wino. |
Ili kuhakikisha unapata uchapishaji wa ubora wa juu na kusaidia kulinda kichwa chako cha uchapishaji, akiba tofauti ya usalama ya wino hubakia katika kibweta wakati kichapishi chako kinakuonyesha unafaa kubadilishwa kibweta. Badilisha katriji wakati unaambiwa kufanya hivyo. Wakati wino wa rangi unapanuliwa na wino mweusi bado unabaki, angalia yafuatayo. |
|
Urekebishaji wa Kichwa cha Kuchapisha Umekatishwa. Kuna tatizo na kichwa cha kuchapisha. Wasiliana na Auni ya Epson. |
Ikiwa ubora wa chapisho haujaimarika baada ya kurudia kuangalia nozeli na kusafisha mara 3, subiri kwa angalau saa 12 bila kuchapisha, angalia nozeli tena , na kisha urudie usafishaji wa kichwa ikiwa ni muhimu. Tunapendekeza uzime kichapishi kwa kutumia kitufe cha Ikiwa ubora wa chapisho haujaimarika baada ya kuendesha Usafishaji wa Nishati, subiri kwa angalau saa 12 bila kuchapisha kisha uchapishe ruwaza ya uangaliaji nozeli tena. Endesha Safisha kichwa cha chapa au Usafishaji wa Nishati tena kwa kutegemea ruwaza iliyochapishwa. Ikiwa ubora bado hajuaimarika, wasiliana na timu ya usaidizi ya Epson. |
|
Fikia yafuatayo au angalia nyaraka kwa maelezo. Teua [Imethibitishwa] baada ya kuidhinisha. |
Iwapo huwezi kuchanganua msimbo wa QR, unganisha kifaa maizi. Angalia yafuatayo kwa maelezo zaidi. |
|
Haiwezi kugundua Katriji ya Wino. Teua “Ifuatayo” ili kuondoa kosa. |
|
|
Hitilafu ya mawasiliano. Kagua muunganisho. |
Unganisha kompyuta na kichapishi vizuri. Iwapo unaunganisha kupitia mtandao, tazama ukurasa unaofafanua mbinu ya muunganisho wa mtandao kutoka kwenye kompyuta. Iwapo ujumbe wa kosa unaonyeshwa wakati wa utambazaji, hakikisha kuwa Epson ScanSmart imesakinishwa kwenye kompyuta. |
|
Sasisha cheti shina ili utumie huduma za wingu. |
Endesha Web Config, na kisha usasishe cheti cha shina. |
|
Ingiza programu ya Epson Event Manager kwenye kompyuta ili utumie kipengele hiki. Angalia nyaraka zako kwa maelezo zaidi. |
Sakinisha Epson ScanSmart kwenye kompyuta. |
|
Kagua zifuatazo wakati kompyuta haipatikani. - Muunganisho kati ya printa na kompyuta (USB au mtandao) - Usakinishaji wa programu inayostahili - Kompyuta iliyowashwa - Mipangilio ya programu ya ngome na usalama - Tafuta tena Angalia nyaraka zako kwa maelezo zaidi. |
Hakikisha kwamba kompyuta imeunganishwa ipasavyo. Hakikisha kwamba Epson ScanSmart imesakinishwa kwenye kompyuta. |
|
Angalia kuwa kiendeshi cha printa imesakinishwa kwenye kompyuta na kuwa mipangilio ya kituo ya printa ni sahihi. |
Bofya Foleni ya U'haji kwenye kichupo cha kienfdeshi cha kichapishi cha Utunzaji. Hakikisha kuwa tundu la kichapishi limeteuliwa vizuri katika Sifa > Tundu kutoka kwenye menyu ya Kichapishi kama ifuatavyo. Teua “USBXXX” kwa muunganisho wa USB, au “EpsonNet Print Port” ili Kuangalia kwamba kiendesha kichapishi kimesakinishwa kwenye muunganisho wa mtandao. |
|
Angalia kuwa kiendeshi cha printa imesakinishwa kwenye kompyuta na kuwa mipangilio ya kituo cha USB cha printa ni sahihi. |
|
|
Usanidi wa Karatasi Imezimwa. Baadhi ya vipengele vinaweza kokosekana. Kwa maelezo, angalia nyaraka. |
Ikiwa Usanidi wa Karatasi imelemazwa, huwezi kutumia AirPrint. |
|
Haiwezi kutumia Kifaa cha Kumbukumbu kilichoingizwa. Angalia nyaraka zako kwa maelezo. |
Tumia kifaa cha kumbukumbu kinachotumika kwenye bidhaa. |
|
Pedi ya wino ya machapisho yasiyo na mipaka ya printa imefikisha mwisho wa matumizi yake. Sio sehemu inayoweza kubadilishwa. Tafadhali wasiliana na auni ya Epson. |
Wasiliana na Epson au mtoa huduma aliyeidhinishwa wa Epson ili kubadlisha pedi ya wino ya uchapishaji usio na mpaka*. Sio sehemu ya kukarabatiwa na mtumiaji. Uchapishaji usiokuwa na mpaka haupatikani, lakini kuchapisha mpaka kunapatikana. |
|
Pedi ya wino ya machapisho yasiyo na mipaka ya printa inakaribia mwisho wa matumizi yake. Sio sehemu inayoweza kubadilishwa. Tafadhali wasiliana na auni ya Epson. |
Wasiliana na Epson au mtoa huduma aliyeidhinishwa wa Epson ili kubadlisha pedi ya wino ya uchapishaji usio na mpaka*. Sio sehemu ya kukarabatiwa na mtumiaji. Donoa OK ili kuendelea na uchapishaji. |
|
Hitilafu ya Printa Zima na uwashe nishati tena. Ikiwa tatizo litaendelea, bonyeza "Endelea". |
Fanya yafuatayo. 1. Fungua kitengo cha kitambazo na uondoe karatasi yoyote au nyenzo yoyote ya kuilinda ndani ya kichapishi. Safisha utepe nzito ikiwa imechafuka. 2. Funga kitengo cha kitambazaji na uzime na uwashe nishati. Ikiwa ujumbe wa hitilafu bado unaonekana baada ya kuzima nishati na kuwasha tena, wasiliana na usaidizi wa Epson. |
|
Kosa limetokea wakati wa kuhifadhi. Angalia na kama inafaa, badilisha kifaa cha kumbukumbu. |
Kifaa cha hifadhi ya nje, kama vile kadi ya kumbukumbu, kinaweza kuharibika. Angalia iwapo kifaa kinapatikana. |
|
Haiwezi kugundua midia. Angalia nyaraka zako kwa maelezo zaidi kuhusu midia |
Tumia kifaa cha kumbukumbu kinachotumika kwenye bidhaa. |
|
Karatasi usalia ndani kwa sababu imewekwa kwa upande. Weka XX ukubwa wa karatasi kwenye XX. Bonyeza "Imekamilika" ili uondoe karatasi iliyo ndani. |
Pakia karatasi ya ukubwa wa A4 kwenye nafasi ya nyuma ya karatasi, na kisha donoa Imefanyika. Pakia tena karatasi iliyoondolewa kwenye mwelekeo wa mchoro ukiipangilia kwa alama ya kishale katikati ya nafasi ya nyuma ya karatasi. |
|
Umepakia karatasi ifuatayo kwenye XX? |
Badilisha mipangilio ya chapisho au pakia karatasi inayolingana na mipangilio ya chapisho katika kaseti ya karatasi kisha ubadilishe mipangilio ya karatasi. Iwapo hutaki kuonyesha ujumbe huu kutoka wakati mwingine, teua Mipangilio > Vitendaji vya Mwongozo, na kisha uweke Karatasi Hailingani kwa Zima. |
|
Recovery Mode |
Kichapishi kimeanza katika modi ya kurejesha kwa sababu sasisho la programu msingi halijafaulu. Fuata hatua zilizo hapa chini ujaribu kusasisha ngome tena. 1. Unganisha kompyuta na kichapishi ukitumia kebo ya USB. (Wakati wa modi ya kurejesha, huwezi kusasisha programu msingi kupitia muunganisho wa mtandao.) 2. Tembelea tovuti yako ya Epson kwa maelekezo zaidi. |
* Katika baadhi ya mizunguko ya uchapishaji kiasi kidogo sana cha wino wa ziada kinaweza kukusanywa katika padi ya wino ya uchapishaji usiokuwa na mpaka. Ili kuzuia uvujaji wa wino kutoka kwenye padi, bidhaa hii imeundwa kusimamisha uchapishaji usiokuwa na mpaka wakati padi imefikisha kikomo chake. Kuhitajika kwake na mara inayohitajika kutatofautiana kulingana na idadi ya kurasa unazochapisha ukitumia chaguo la kuchapisha bila kingo. Kuhitajika kwa ubadilishaji wa padi hakumaanishi kwamba printa yako imewacha kufanya kazi kulingana na sifa zake. Printa itakuarifu wakati padi inahitajika kubadilishwa na jambo linaweza tu kufanywa na Mtoa huduma aliyeidhinishwa na Epson. Udhamini wa Epson hausimamii gharama ya ubadilishaji huu.