Kichapishi Hakiwaki Otomatiki

Washa Nishati Otomatiki imelemazwa.

Suluhisho

  • Teua Mipangilio > Mipangilio Msingi, kisha uwashe mipangilio ya Washa Nishati Otomatiki.

  • Unapounganisha kwa kutumia kebo ya USB, hakikisha umechomeka kebo ya USB kwa usalama kwenye kichapishi na kwenye kompyuta.

  • Unapounganisha kupitia mtandao, hakikisha kwamba kichapishi kimeunganishwa vyema kwenye mtandao katika skrini ya nyumbani ya kichapishi.