
Pakia karatasi katika kichapishi.
Kupakia Karatasi katika Mkanda 1 wa Karatasi
Chomeka kifaa cha kumbukumbu kwenye sloti ya kadi ya SD au kiweko cha USB cha kiolesura cha nje cha kichapishi.
Kuchomeka Kifaa cha Nje cha USB
Ikiwa Auto Selection Mode katika Guide Functions imefunguliwa, ujumbe unaonyeshwa. Angalia ujumbe na uchague to function index.
Teua Print Photos kwenye paneli dhibiti.
Teua Print.
Wakati ujumbe unaokuambia kuwa kupakia picha kumekamilika unaonyeshwa, teua OK.
Teua picha unayotaka kuchapisha kutoka kwenye skrini inayoonyesha mwonekano wa kijipicha.
Picha iliyoteuliwa ina alama na idadi ya vichapisho (awali 1) kwayo.
Teua
upande wa juu kulia wa skrini ili kuonyesha Select Photo Menu. Ukibainisha tarehe kwa kutumia Browse, picha za tarehe iliyobainishwa pekee zitaonyeshwa.
Ili kubadilisha idadi ya machapisho, Teua Single View kisha utumie - au +. Iwapo ikoni hazionyeshwi, donoa mahali popote kwenye skrini.
Teua Single View, kisha uteue
ili kuhariri picha ikiwa ni muhimu.
Teua Next na uweke mipangilio kwenye kichupo cha Basic Settings kisha uweke iadai ya nakala.
Teua kichupo cha Advanced Settings kisha ubadilishe mipangilio inavyohitajika.
Teua kichupo cha Basic Settings, na kisha udonoe
.
Thibitisha kuwa uchapishaji umekamilika, na kisha uteue Close.
Iwapo utagundua matatizo ya ubora wa chapisho kama vile kukusanyika pamoja, rangi zisizotarajiwa, au taswira zisizoonekana vizuri, teuaa Troubleshooting ili kuona suluhisho.