Fanya moja kati ya zifuatazo.
Dirisha lifuatalo linapoonyeshwa, teua Chapisha kwenye rangi Nyeusi.

Dirisha lifuatalo linapoonyeshwa, katisha uchapishaji. Na kisha, kuchapisha tena.

Iwapo huwezi kukatisha uchapishaji kutoka kwenye kompyuta, katisha ukitumia paneli dhibiti ya kichapishi.
Fuata hatua zilizo hapa chini unapochapisha tena.
Nenda kwa dirisha la kiendeshi cha kichapishi.
Futa Isiyo na kingo kwenye kichupo cha Kuu.
Teue Aina ya Krtasi kama moja kati ya yafuatayo kwenye kichupo cha Kuu.
Teua Rekebu-kijivu.
Weka vipengele hivyo vingine kwenye vichupo vya Kuu na Chaguo Zaidi inavyohitajika, na kisha ubofye SAWA.
Bofya Chapisha.
Bofya Chapisha kwenye rangi Nyeusi kwenye dirisha lililoonyeshwa.