Unaweza kuchapisha kalenda asili iliyo na picha kwa urahisi kutoka kwa kifaa cha kumbukumbu.

Pakia karatasi katika kichapishi.
Kupakia Karatasi katika Mkanda 1 wa Karatasi
Chomeka kifaa cha kumbukumbu kwenye sloti ya kadi ya SD au kiweko cha USB cha kiolesura cha nje cha kichapishi.
Teua Various Prints kwenye paneli dhibiti.
Teua Personal Stationery > Calendar.
Teua aina ya kalenda.
Weka mwaka na mwezi, na kisha uteue OK.
Wakati ujumbe unaokuambia kuwa kupakia picha kumekamilika unaonyeshwa, teua OK.
Teua
.
Teua picha unayotaka kuchapisha kwenye skrini ya kuteua picha, na kisha uteue Done.
Teua Single View, kisha uteue
ili kuhariri picha ikiwa ni muhimu.
Teua Next.
Ingiza idadi ya nakala, na kisha udonoe
.