
Unaweza kuteua picha zilizohifadhiwa kwenye kifaa cha kumbukumbu ili kuchapisha kwenye lebo ya CD/DVD.
Kabla ya kuchapisha kwenye CD/DVD, tazama tahadhari za kushughulikia CD/DVD.
Usiweke treya ya CD/DVD kichapishi kinapofanya kazi. Huenda hii ikaharibu kichapishi.
Chomeka kifaa cha kumbukumbu kwenye sloti ya kadi ya SD au kiweko cha USB cha kiolesura cha nje cha kichapishi.
Teua Various Prints kwenye paneli dhibiti.
Teua Copy to CD/DVD > Print on CD/DVD.
Teua mpangilio.
CD/DVD 1-up, CD/DVD 4-up, na CD/DVD Variety zinapatikana.
Unapobadilisha kipenyo cha nje na cha ndani, chagua
katika sehemu ya juu kulia ya skrini, kisha uchague CD Inner/Outer. Weka kipenyo cha nje na cha ndani ukitumia
, kisha uchague OK. Pia unaweza kuweka kipenyo kwa kuteua thamani kwenye fremu na kutumia kibao namba cha kwenye skrini.
Unaweza kuweka 114 hadi 120 mm kama kipenyo cha nje, na 18 hadi 46 mm kama kipenyo cha ndani katika kuongezeka kwa 1 mm.
Wakati ujumbe unaokuambia kuwa kupakia picha kumekamilika unaonyeshwa, teua OK.
Fanya moja kati ya zifuatazo.
, teua picha, kisha uchague Done. Teua Next, na kisha uende kwenye hatua ya 9.
Teua
, teua picha unayotaka kuchapisha kwenye skrini ya kuteua picha kisha uteue Done.
Teua Single View, kisha uteue
ili kuhariri picha ikiwa ni muhimu.
Rudia hatua ya 7 hadi picha zote ziwekwe kisha uteue Next.
Teua CD/DVD kwenye kichupo cha Basic Settings.
Chaguo za Menyu ya Mipangilio ya Karatasi na Chapisho
Ili kuunda chapisho la jaribio, teua As a trial, na kisha upakie karatasi tupu la A4 kwenye mkanda 2 wa karatasi. Unaweza kuangalia taswira ya chapisho kabla ya kuchapisha lebo ya CD/DVD.
Teua How To, na upakie CD/DVD kwa kurejelea maelekezo yote.
Weka CD/DVD kwenye treya ya CD/DVD upande wa kuchapisha ukiangalia juu. Bonyeza katikati ya CD/DVD ili kuiweka salama kwenye trei ya CD/DVD. Vinginevyo, CD/DVD inaweza kuanguka kutoka kwa trei. Geuza trei ili kuhakikisha kuwa CD/DVD imelindwa thabiti kwenye trei.

Unaweza kuhisi msuguano kiasi unapochomeka trei kwenye kichapishi. Hii ni kawaida na unafaa kuendelea kuichomeka kimlalo.
Teua kichupo cha Advanced Settings kisha ubadilishe mipangilio inavyohitajika.
Teua kichupo cha Basic Settings, na kisha udonoe
.
Wakati uchapishaji umekamilika, trei ya CD/DVD inatolewa. Ondoa trei kutoka kwa kichapishi, na kiisha uteue Printing Complete.
Baada ya uchapishaji kukamilika, hakikisha umeondoa trei ya CD/DVD. Iwapo hutaondoa trei na kuwasha na kuzima kichapishi, au kuendesha usafishaji wa kichwa, trei ya CD/DVD itagonga kichwa cha chapisho na inaweza kusababisha kichapishi kuharibika.
Ondoa CD/DVD na uhifadhi trei ya CD/DVD upande wa chini wa mkanda 2 wa karatasi.