> Kupakia Karatasi na CD/DVD > Kuweka Karatasi > Kupakia Bahasha > Kupakia Bahasha kwenye Mkanda 2 wa Karatasi

Kupakia Bahasha kwenye Mkanda 2 wa Karatasi

  1. Wakati trei towe imeondolewa, angalia kwamba hakuna karatasi kwenye trei, kisha uifunge kwa kuteua au kuisukuma kwa mkono wako.

  2. Inua paneli dhibiti.

  3. Fungua kifuniko cha mbele hadi kitoe mbofyo.

  4. Kagua kwamba printa haifanyi kazi, na kisha uondoe mkanda 2 wa karatasi.

  5. Telezesha miongozo ya kingo hadi mkao wake wa juu.

  6. Telezesha upande wa mbele wa mwongozo wa ukingo kwenye ukubwa wa bahasha unaotaka kutumia.

  7. Huku upande unaoweza kuchapishwa ukielekea chini, pakia bahasha dhidi ya sehemu ya mbele ya mwongozo wa ukingo.

    Muhimu:
    • Hakikisha karatasi haijazidisha alama ya pembetatu mwisho wa kseti.

    • Usipakie zaidi ya idadi ya juu zaidi ya laha iliyobainishwa kwa bahasha.

    • Usipakie aina tofauti za bahasha kwenye kaseti.

  8. Telezesha mwongozo wa ukingo kwenye ukingo wa bahasha.

  9. Chomeka mkanda 2 wa karatasi.

  10. Chagua ukubwa wa karatasi na aina ya karatasi.

    Mipangilio ya Ukubwa na Aina ya Karatasi

  11. Angalia mipangilio, na kisha uteue Close.

    Kumbuka:

    Trei towe huteleza nje kiotomatiki uchapishaji unapoanza.