|
Viwango |
IEEE 802.11a/b/g/n*1/ac |
||
|
Masafa ya Wawimbi |
IEEE 802.11b/g/n: 2.4 GHz, IEEE 802.11a/n/ac: 5 GHz |
||
|
Chaneli |
Wi-Fi |
2.4 GHz |
1/2/3/4/5/6/7/8/9/10/11/12/13 |
|
5 GHz |
W52 (36/40/44/48)*2, W53 (52/56/60/64)*2, W56 (100/104/108/112/116/120/124/128/132/136/140)*3, W58 (149/153/157/161/165)*3 |
||
|
Wi-Fi Direct |
2.4 GHz |
1/2/3/4/5/6/7/8/9/10/11/12/13 |
|
|
5 GHz |
W52 (36/40/44/48)*2 |
||
|
Modi za Muunganisho |
Miundomsingi, Wi-Fi Direct (AP Rahisi)*4,*5 |
||
|
Itifaki ya Usalama*6 |
WEP (64/128bit), WPA2-PSK (AES)*7 |
||
*1 Inapatikana tu kwa HT20.
*2 Matumizi ya bidhaa nje kupitia chaneli hizi yamepigwa marufuku.
*3 Uapatikanaji wa chaneli hizi hutofautiana kutegemea eneo. Kwa maelezo zaidi, angalia http://support.epson.net/wifi5ghz/
*4 Haiauniwi kwa IEEE 802.11b.
*5 Modi za muundmsingu na Wi-Fi Direct au muunganisho wa Ethaneti unaweza kutumika kwa wakati mmoja.
*6 Wi-Fi Direct inatumia WPA2-PSK (AES) pekee.
*7 Hufuata viwango vya WPA2 kwa usaidizi kwa WPA/WPA2 wa Kibinafsi.