> Kuchapisha > Kuchapisha Nyaraka > Kuchapisha Nyaraka kutoka Vifaa Maizi (iOS) > Kuchapisha Nyaraka Ukitumia AirPrint

Kuchapisha Nyaraka Ukitumia AirPrint

AirPrint huwezesha uchapishaji pasiwaya wa papo hapo kutoka kwenye iPhone, iPad, iPod ya mguso, na Mac bila kuhitajika kusakinisha viendeshi au kupakua programu.

Kumbuka:

Iwapo ulilemaza ujumbe wa usanidi wa karatasi kwenye paneli dhibiti ya kichapishi chako, huwezi kutumia AirPrint. Tazama kiungo kilicho hapa chini ili kuwezesha ujumbe, iwapo inahitajika.

  1. Pakia karatasi katika kichapishi.

    Kupakia Karatasi katika Mkanda 1 wa Karatasi

    Kupakia Karatasi katika Mkanda 2 wa Karatasi

    Kupakia Karatasi katika Nafasi ya Nyuma ya Karatasi

  2. Sanidi kichapishi chako kwa uchapishi wa pasi waya. Tazama kiungo cha hapa chini.

    http://epson.sn

  3. Unganisha kifa chako cha Apple kwenye mtandao sawa wa pasi waya ambao kichapishi chako kinatumia.

  4. Chapisha kutoka kwa kifaa chako hadi kwa printa.

    Kumbuka:

    Kwa maelezo, tazama ukurasa wa AirPrint kwenye tovuti ya Apple.