> Kutatua Matatizo > Kichapishi Hakifanyi Kazi Inavyotarajiwa > Haiwezi Kuanzisha Utambazaji > Haiwezi Kuanza Kutambaza kutoka katika Kifaa Mahiri

Haiwezi Kuanza Kutambaza kutoka katika Kifaa Mahiri

Hakikisha kwamba kifaa mahiri na kichapishi vimeunganishwa ipasavyo.

Sababu na suluhu la tatizo hutofautiana kwa kutegemea iwapo vimeunganishwa au la.