> Kuchapisha > Kuchapisha Vipengee Mbalimbali > Kuchapisha Kitabu cha Rangi Ukitumia Picha

Kuchapisha Kitabu cha Rangi Ukitumia Picha

Unaweza kuchapisha picha kwa kuopoa muhtasari wa picha au ufafanuzi. Hii kuhuruhusu kuunda vitabu vya kipekee vya rangi.

Kumbuka:

Isipokuwa vikitumiwa kwa matumizi ya binafsi (nyumbani au maeneo mengine yaliyozuiwa), unahitaji kibali kutoka kwa mmilikiwa hakimiliki unapotumia nakala asili ya hakimiliki iliyolindwa ili kuunda kitabu cha rangi.

  1. Pakia karatasi katika kichapishi.

    Kupakia Karatasi katika Mkanda 1 wa Karatasi

    Kupakia Karatasi katika Mkanda 2 wa Karatasi

    Kupakia Karatasi katika Nafasi ya Nyuma ya Karatasi

  2. Iwapo unatakaa kutumia picha kwenye kifaa cha kumbukumbu,chomeka kifaa kwenye sloti ya kadi ya SD au kiweko cha USB cha kiolesura cha nje cha kichapishi.

    Kuingiza Kadi ya Kumbukumbu

    Kuchomeka Kifaa cha Nje cha USB

  3. Teua Various Prints kwenye paneli dhibiti.

  4. Teua Coloring Book.

  5. Fanya moja kati ya zifuatazo.

    • Unapoteua Scan an original: Weka mipangilio ya uchapishaji kisha uweke nakala asili kwenye glasi ya kichanganuzi. Donoa .
    • Unapoteua Choose from the memory card: Ukionyeshwa ujumbe unaokufahamisha kwamba kimemaliza kupakia picha, teua OK. Teua picha unayotaka kuchapisha, na kisha uteue Next. Weka mipangilio kwenye kichupo cha Basic Settings kisha uchague kichupo cha Advanced Settings kisha ubadlishe mipangilio ikiwa muhimu. Teua kichupo cha Basic Settings, na kisha udonoe .