> Kuchapisha > Kuchapisha Nyaraka > Kuchapisha kutoka kwenye Kompyuta — Windows > Kuchapisha Hati Iliyopunguzwa au Kuongezwa ukubwa kwa Ukuzaji wowote

Kuchapisha Hati Iliyopunguzwa au Kuongezwa ukubwa kwa Ukuzaji wowote

Unaweza kupunguza au kuongeza ukubwa wa hati na asilimia mahsusi.

Kumbuka:

Kipengele hiki hakipatikani na uchapishaji usio na mipaka.

  1. Pakia karatasi katika kichapishi.

    Kupakia Karatasi katika Mkanda 1 wa Karatasi

    Kupakia Karatasi katika Mkanda 2 wa Karatasi

    Kupakia Karatasi katika Nafasi ya Nyuma ya Karatasi

  2. Fungua faili unayotaka kuchapisha.

  3. Chagua Chapisha au Usanidi wa Uchapishaji katika menyu ya Faili.

  4. Teua kichapishi chako.

  5. Teua Mapendeleo au Sifa ili uende kwa dirisha la kiendeshi cha printa.

  6. Kwenye kichupo cha kiendeshi cha kichapishi Chaguo Zaidi, teua ukubwa wa waraka kutoka kwenye mpangilio wa Ukubwa wa Waraka.

  7. Teua ukubwa wa karatasi unaotaka kuchapisha kutoka kwenye mpangilio wa Karatasi ya Zao.

  8. Chagua Punguza/Kuza Waraka, Kuza hadi, na ingize asilimia.

  9. Weka vipengele hivyo vingine kwenye vichupo vya Kuu na Chaguo Zaidi inavyohitajika, na kisha ubofye SAWA.

    Kichupo cha Kuu

    Kichupo cha Chaguo Zaidi

  10. Bofya Chapisha.