Unaweza kukagua maelezo ya kina ya mtandao kwa kuyachapisha.
Pakia karatasi.
Donoa Settings kwenye skrini ya nyumbani.
Donoa Network Settings > Network Status.
Donoa Print Status Sheet.
Angalia ujumbe, na kisha uchapishe karatasi ya hali ya mtandao.
Donoa Close.