Uendeshaji unaweza kutofautiana kulingana na kifaa.
Pakia karatasi katika kichapishi.
Kupakia Karatasi katika Mkanda 1 wa Karatasi
Sanidi kichapishi chako kwa uchapishi wa pasi waya.
Ikiwa Epson iPrint haijasakinishwa, isakinishe.
Unganisha kifaa chako maizi kwenye mtandao pasiwaya kilipounganishwa kichapishi chako.
Anzisha Epson iPrint.
Donoa Document kwenye skrini ya nyumbani.
Donoa mahali pa waraka unapiotaka kuchapisha.
Teua waraka kisha udonoe Next.
Donoa Print.