Skrini ya mguso ni tangamanifu na operesheni zifuatazo.
|
Donoa |
![]() |
Bonyeza au teua vipengee au ikoni. |
|
Pindua |
![]() |
Biringiza skrini taratibu. |
|
Telezesha |
![]() |
Shikilia na usogeze vipengee katika skrini. |
|
Bana ndani Bana nje |
![]() |
Kuza karibu na ufifize taswira ya uhakiki kwenye paneli dhibiti unapochapisha picha. |