
|
|
Hukurudisha kwenye skrini ya awali. |
|
|
|
Hubadili orodha ya mipangilio kutumia vichupo. Kichupo sehemu ya kushoto huonyesha vipengele vinavyotumika mara kwa mara. Kichupo Advanced Settings huonyesha vipengee vingine unavyoweza kuweka kama muhimu. |
|
|
|
Huonyesha orodha ya vipengee vya mpangilio. Unda mipangilio kwa kuteua kipengee au kuongeza alama ya ukaguzi. Vipengee vya rangi ya kijivu havipatikani. Teua kipengee ili kukagua mbona hakipatikani. |
|
|
|
Huanza operesheni kwa kutumia mipangilio ya sasa. Vipengee vinatofautiana kulingana na menyu. |
|
|
Copies |
Huonyesha kipadi kwenye skrini na kukuruhusu kuweka idadi ya nakala. |
|
|
Preview |
Huonyesha onyesho la ukaguzi la taswira kabla ya kuchapisha, kinakili au kutambaza. |
|
|
|
Huanza kuchapisha, kunakili au kutambaza. |
|