Huonyesha tahadhari iwapo mipangilio ya karatasi (mipangilio ya chapisho) ya kazi ya chapishohailingani na mipangilio ya karatasi ya kichapishi iliyoundwa ulipopakia karatasi. Mpangilio huu huzuia uchapishaji usiofaa. Hata hivyo, skrini ya mpangilio wa karatasi haionyeshwi wakati Paper Configuration inale, azwa kwenye menyu zifuatazo.
Huonyesha tahadhari wakati nakala asili imewachwa kwenye glasi ya kichanganuzi wakati jalada la waraka halijafunguliwa japokuwa kunakili na kutambaza kutumia paneli dhibiti kumekamilika.Utendaji huenda usifanye kazi sahihi kulingana na unene wa nakala asili.