> Mwongozo wa Paneli Dhibiti > Kutazama Uhuishaji

Kutazama Uhuishaji

Unaweza kutazama uhuishaji wa maagizo ya kuendesha kama vile kupakia karatasi au kuondoa karatasi zilizojaa kwenye skrini ya LCD.

  • Gusa : Huonyesha skrini ya msaada. Donoa How To na uteue vipengee unavyotaka kutazama.

  • Teua How To upande wa chini wa skrini ya operesheni: Huonyesha uhuishaji unaozingatia muktadha. Kumbuka kwamba uhuishaji hutegemea muundo wa kichapishi.

Huionyesha jumla ya idadi ya hatua na nambari ya hatua ya sasa.

Katika mfano ulio hapo juu, unaonyesha hatua 2 kutoka kwa hatua 6.

Hukurudisha kwenye hatua ya awali.

Huonyesha maendeleo yako kupitia hatua ya sasa. Uhuishaji hurudia wakati upau wa maendeleo hufika mwisho.

Huisogeza kwa hatua inayofuata.