Unaweza kutambaza kutoka kwa kompyuta kwa kutumia Epson ScanSmart.
Programu hii inakuruhusu kutambaza nyaraka na picha kwa urahisi kisha kuhifadhi picha zilizotambazwa kwa njia rahisi.
Weka nakala za kwanza.
Anzisha Epson ScanSmart.
Wakati skrini ya Epson ScanSmart inaonyeshwa, fuata maelekezo kwenye skrini ili kutambaza.
Bofya Help ili kuangalia taarifa za kina za operesheni.