> Maelezo ya Bidhaa > Ufafanuzi wa Bidhaa > Ufafanuzi wa Kifaa cha Kumbukumbu > Vipimo Vinavyoauniwa vya Kadi ya Kumbukumbu

Vipimo Vinavyoauniwa vya Kadi ya Kumbukumbu

Kadi Tangamanifu za Kumbukumbu

Uwezo wa Juu zaidi

miniSD*

2 GB

miniSDHC*

32 GB

microSD*

2 GB

microSDHC*

32 GB

microSDXC*

64 GB

SD

2 GB

SDHC

32 GB

SDXC

64 GB

* Ambatisha adapta ili itoshee kwenye mpenyo wa kadi ya kumbukumbu. Vinginevyo, kadi inaweza kukwama.