Kwa watumiaji wa Ulaya
Seiko Epson Corporation inatangaza kuwa modeli ifuatayo ya kifaa cha redio inazingatia Maelekezo ya 2014/53/EU. Matini kamili ya azimio la EU la maafikiano linapatikana kayika tovuti ifuatayo.
http://www.epson.eu/conformity
C493E
Inatumika tu ndani ya Ayalandi, Uingereza, Austria, Ujerumani, Lishenteni, Uswisi, Ufaransa, Ubelgiji, Lusembagi, Uholanzi, Italia, Ureno, Uhispania, Denimaki, Ufini, Norwei, Uswidi, Aisilandi, Kroatia, Kibros, Ugiriki, Slovenia, Malta, Bulgaria, Ucheki, Estonia, Hungaria, Latvia, Lithuania, Polandi, Romani na Slovakia.
Epson haitakubali wajibu wa kutoridhisha mahitaji ya ulinzi kunakotokana na urekebishaji wa bidhaa ambao haujapendekezwa.
|
Mawimbi |
Nishati ya Mawimbi ya Redio ya juu zaidi Yanayopeperushwa |
|
2400–2483.5 MHz |
20 dBm (EIRP) |
|
5150–5250 MHz |
20 dBm (EIRP) |
|
5250–5350 MHz |
20 dBm (EIRP) |
|
5470–5725 MHz |
20 dBm (EIRP) |
