Ifuatayo ndio misimbo halisi ya vibweta vya wino wa Epson.
|
Ikoni |
BK (Black (Nyeusi)) |
C (Cyan (Siani)) |
M (Magenta (Majenta)) |
Y (Yellow (Manjano)) |
LC (Light Cyan (Siani isiyo Nzito)) |
LM (Light Magenta (Majenta isiyo Nzito)) |
|---|---|---|---|---|---|---|
|
Elephant ![]() |
24 24XL* |
24 24XL* |
24 24XL* |
24 24XL* |
24 24XL* |
24 24XL* |
* “XL” inaashiria kibweta kikubwa.
Kwa matumizi ya Australia na Nyuzilandi
|
BK (Black (Nyeusi)) |
C (Cyan (Siani)) |
M (Magenta (Majenta)) |
Y (Yellow (Manjano)) |
LC (Light Cyan (Siani isiyo Nzito)) |
LM (Light Magenta (Majenta isiyo Nzito)) |
|---|---|---|---|---|---|
|
277 277XL*1 |
277 277XL* |
277 277XL* |
277 277XL* |
277 277XL* |
277 277XL* |
* “XL” inaashiria kibweta kikubwa.
Epson inapendekeza utumie katriji halali za wino za Epson. Epson haiwezi kukuhakikishia ubora au uaminifu wa wino usio halali. Matumizi ya wino usio halali yanaweza kusababisha uharibifu ambao haujasimamiwa na udhamini wa Epson, na wakati mwingine, kunaweza kusababisha mienendo ya uchapishaji isiyo ya kawaida. Maelezo kuhusu viwango vya wino usio halali hayawezi kuonekana.
Misimbo ya kibweta cha wino inaweza kutofautiana kwa eneo. Kwa misimbo sahihi katika eneo lako, wasiliana na auni ya Epson.
Sio katriji zote zinapatikana katika maeneo yote.
Kwa watumiaji walio Ulaya, tembelea tovuti ifuatayo kwa maelezo kuhusu nyuga za kibweta cha wino cha Epson.
Ingawa katriji za wino huenda zikawa na nyenzo zilizorejelezwa, hii haiathiri ufanyaji kazi au utendaji wa printa.
Sifa na sura ya katriji ya wino zinaweza kubadilishwa bila notisi ili kuoboresha.