Ikiwa ujumbe wa tatizo utaonyeshwa kwenye skrini ya LCD, fuata maelekezo kwenye skrini au suluhu zilizo hapa chini kutatua tatizo.
|
Ujumbe wa Hitilafu |
Suluhisho |
|---|---|
|
The combination of the IP address and the subnet mask is invalid. See your documentation for more details. |
Ingiza anwani sahihi ya IP au kichanganishi chaguo-msingi. Wasiliana na mtu aliyesanidi mtandao kwa usaidizi. |
|
Ink is low. |
Unaweza kuendelea kuchapisha hadi usituliwe ii kubadilisha vibweta cha wino. Hata hivyo, kumbuka kwamba kichapishi hakiwezi kuchapisha ikiwa mojawapo ya vibweta vya wino kimetumika. Andaa vibweta vipya haraka iwezekanavyo. Endelea Kuchapisha ili Kuhifadhi Wino Mweusi (kwa Windows Pekee) |
|
Ink cartridge(s) are low. Print job may not print completely. |
Teua Proceed kwenye skrini ya ujumbe ili uchague moja kati ya chaguo zifuatazo. Replace before printing Continue printing No, cancel printing Ikiwa mojawapo kati ya vibweta wino kimetumika wakati wa uchapishaji, karatasi inaondolewa katikati ya uchapishaji. Unapochapisha katika karatasi kubwa kuliko A4, tunapendekeza uteue Replace before printing na ubadilishe kibweta cha wino na kingine. Tunapendekeza sana kwamba ubadilishe na kibweta wino kikubwa cha Epson. |
|
You need to replace the following ink cartridge(s). |
Ili kuhakikisha unapata uchapishaji wa ubora wa juu na kusaidia kulinda kichwa chako cha uchapishaji, akiba tofauti ya usalama ya wino hubakia katika kibweta wakati kichapishi chako kinakuonyesha unafaa kubadilishwa kibweta. Badilisha katriji wakati unaambiwa kufanya hivyo. |
|
Print Head Adjustment Canceled. There is a problem with the print head. Contact Epson Support. |
Ikiwa ubora wa chapisho haujaimarika baada ya kurudia kuangalia nozeli na kusafisha kichwa mara 2, subiri kwa angalau saa 6 bila kuchapisha kisha uangalie nozeli tena na urudie usafishaji wa kichwa ikiwa ni muhimu. Tunapendekeza uzime kichapishi ukitumia kitufe cha Ikiwa ubora wa chapisho haujaimarika baada ya kuendesha Power Cleaning, subiri kwa angalau saa 6 bila kuchapisha kisha uchapishe ruwaza ya uangaliaji nozeli tena. Endesha Cleaning au Power Cleaning tena kwa kutegemea ruwaza iliyochapishwa. Ikiwa ubora bado hajuaimarika, wasiliana na timu ya usaidizi ya Epson. |
|
Access the following or see documentation for details. Select [Dismiss] after confirming it. |
Iwapo huwezi kuchanganua msimbo wa QR, unganisha kifaa maizi. Angalia yafuatayo kwa maelezo zaidi. |
|
Communication error. Check if the computer is connected. |
Unganisha kompyuta na kichapishi vizuri. Iwapo unaunganisha kupitia mtandao, tazama ukurasa unaofafanua mbinu ya muunganisho wa mtandao kutoka kwenye kompyuta. Iwapo ujumbe wa kosa unaonyeshwa wakati wa utambazaji, hakikisha kuwa Epson Scan 2 na Epson Event Manager vimesakinishwa kwenye kompyuta. |
|
To use cloud services, update the root certificate from the Epson Web Config utility. |
Endesha Web Config, na kisha usasishe cheti cha shina. |
|
Install the Epson Event Manager software on the computer to use this feature. See your documentation for more details. |
Sakinisha Epson Event Manager kwenye kompyuta. |
|
Check the following if a computer is not found. - Connection between the printer and the computer (USB or network) - Installation of the necessary software - Power supply to the computer - Firewall and security software settings - Search again See your documentation for more details. |
Hakikisha kwamba kompyuta imeunganishwa ipasavyo. Hakikisha kwamba Epson Event Manager imesakinishwa kwenye kompyuta. |
|
Check that the printer driver is installed on the computer and that the port settings for the printer are correct. |
Hakikisha kuwa tundu la kichapishi limeteuliwa vizuri katika Sifa > Tundu kutoka kwenye menyu ya Kichapishi kama ifuatavyo. Teua “USBXXX” kwa muunganisho wa USB, au “EpsonNet Print Port” ili Kuangalia kwamba kiendesha kichapishi kimesakinishwa kwenye muunganisho wa mtandao. |
|
Check that the printer driver is installed on the computer and that the USB port settings for the printer are correct. |
|
|
Printing is suspended to avoid printing on mismatched paper. Paper settings don't match the paper loaded in XX. |
Badilisha mipangilio ya chapisho au pakia karatasi inayolingana na mipangilio ya chapisho katika kaseti ya karatasi kisha ubadilishe mipangilio ya karatasi. Iwapo hutaki kuonyesha ujumbe huu kutoka wakati mwingine, teua Settings > Guide Functions, na kisha uweke Paper Mismatch kwa Off. |
|
Paper Configuration is set to Off. Some features may not be available. For details, see your documentation. |
Ikiwa Paper Configuration imelemazwa, huwezi kutumia AirPrint. |
|
Cannot use the inserted Memory Device. See your documentation for details. |
Tumia kifaa cha kumbukumbu kinachotumika kwenye bidhaa. |
|
The printer's borderless printing ink pad has reached the end of its service life. It is not a user-replaceable part. Please contact Epson support. |
Wasiliana na Epson au mtoa huduma aliyeidhinishwa wa Epson ili kubadlisha pedi ya wino ya uchapishaji usio na mpaka*. Sio sehemu ya kukarabatiwa na mtumiaji. Uchapishaji usiokuwa na mpaka haupatikani, lakini kuchapisha mpaka kunapatikana. |
|
The printer's borderless printing ink pad is nearing the end of its service life. It is not a user-replaceable part. Please contact Epson support. |
Wasiliana na Epson au mtoa huduma aliyeidhinishwa wa Epson ili kubadlisha pedi ya wino ya uchapishaji usio na mpaka*. Sio sehemu ya kukarabatiwa na mtumiaji. Donoa OK ili kuendelea na uchapishaji. |
|
Printer Error Turn on the printer again. See your documentation for more details. |
Fanya yafuatayo. 1. Fungua kitengo cha kitambazo na uondoe karatasi yoyote au nyenzo yoyote ya kuilinda ndani ya kichapishi. Safisha utepe nzito ikiwa imechafuka. 2. Funga kitengo cha kitambazaji na uzime na uwashe nishati. Ikiwa ujumbe wa hitilafu bado unaonekana baada ya kuzima nishati na kuwasha tena, wasiliana na usaidizi wa Epson. |
|
An error occurred while saving. Check and if necessary, change the memory device. |
Kifaa cha hifadhi ya nje, kama vile kadi ya kumbukumbu, kinaweza kuharibika. Angalia iwapo kifaa kinapatikana. |
|
Cannot recognize the media. See your documentation for more details about the media |
Tumia kifaa cha kumbukumbu kinachotumika kwenye bidhaa. |
|
Recovery Mode |
Kichapishi kimeanza katika modi ya kurejesha kwa sababu sasisho la programu msingi halijafaulu. Fuata hatua zilizo hapa chini ujaribu kusasisha ngome tena. 1. Unganisha kompyuta na kichapishi ukitumia kebo ya USB. (Wakati wa modi ya kurejesha, huwezi kusasisha programu msingi kupitia muunganisho wa mtandao.) 2. Tembelea tovuti yako ya Epson kwa maelekezo zaidi. |
* Katika baadhi ya mizunguko ya uchapishaji kiasi kidogo sana cha wino wa ziada kinaweza kukusanywa katika padi ya wino ya uchapishaji usiokuwa na mpaka. Ili kuzuia uvujaji wa wino kutoka kwenye padi, bidhaa hii imeundwa kusimamisha uchapishaji usiokuwa na mpaka wakati padi imefikisha kikomo chake. Kuhitajika kwake na mara inayohitajika kutatofautiana kulingana na idadi ya kurasa unazochapisha ukitumia chaguo la kuchapisha bila kingo. Kuhitajika kwa ubadilishaji wa padi hakumaanishi kwamba printa yako imewacha kufanya kazi kulingana na sifa zake. Printa itakuarifu wakati padi inahitajika kubadilishwa na jambo linaweza tu kufanywa na Mtoa huduma aliyeidhinishwa na Epson. Udhamini wa Epson hausimamii gharama ya ubadilishaji huu.