Nakili nakala nyingi asili kwenye pande zote mbili za karatasi.

Pakia karatasi katika kichapishi.
Kupakia Karatasi katika Mkanda 1 wa Karatasi
Weka nakala za kwanza.
Teua Copy kwenye paneli dhibiti.
Teua
(2-Sided) kwenye kichupo cha Copy.
Teua 1→2-Sided.
Bainisha Original Orientation na Binding Margin kisha uteue OK.
Unaweza kuangalia taswira iliyokamilika katika sehemu ya kulia ya skrini.

Badilisha mipangilio mingine inavyohitajika.
Teua kichupo cha Advanced Settings, na kisha ubadilishe mipangilio kama inavyohitajika.
Teua kichupo cha Copy, na kisha uweke idadi ya nakala.
Donoa
.
Iwapo utateua Preview, unaweza kuangalia taswira zilizotambazwa.
Rangi, ukubwa, na ukingo wa taswira iliyonakiliwa ni tofauti kiasi kutoka kwenye nakala asili.