Kichapishi Hakiwaki Otomatiki

Auto Power On imelemazwa.

Suluhisho

  • Teua Settings > Basic Settings, kisha uwashe mipangilio ya Auto Power On.

  • Unapounganisha kwa kutumia kebo ya USB, hakikisha umechomeka kebo ya USB kwa usalama kwenye kichapishi na kwenye kompyuta.

  • Unapounganisha kupitia mtandao, hakikisha kwamba kichapishi kimeunganishwa vyema kwenye mtandao katika skrini ya nyumbani ya kichapishi.