> Kuchapisha > Kuchapisha Picha > Kuchapisha Picha kutoka kwa Kamera ya Kidijitali > Kuchapisha picha kutoka kwa Kamera ya Kidijitali Iliyounganishwa na USB

Kuchapisha picha kutoka kwa Kamera ya Kidijitali Iliyounganishwa na USB

Unaweza kuchapisha picha moja kwa moja kutoka kwa kamera ya dijitali iliyounganishwa na kebo ya USB.

  1. Ondoa kifaa cha kumbukumbu kutoka kwenye kichapishi.

  2. Pakia karatasi katika kichapishi.

    Kupakia Karatasi katika Mkanda 1 wa Karatasi

    Kupakia Karatasi katika Mkanda 2 wa Karatasi

    Kupakia Karatasi katika Nafasi ya Nyuma ya Karatasi

  3. Teua Settings > Camera Print Settings kwenye paneli dhibiti.

  4. Teua Print Settings au Photo Adjustments na ubadilishe mipangilio iwapo ni muhimu.

  5. Washa kamera ya dijitali, na kishaa uunganishe kichapishi kutumia kebo ya USB.

    Kumbuka:

    Tumia kebo ya USB ambayo ni fupi kuliko mita mbili.

  6. Teua picha unazotaka kuchapisha kutoka kwa kamera ya dijitali, unda mipangilio kama idadi ya nakala, na kisha uanze kuchapisha.