> Kuchapisha > Kuchapisha Picha > Kuchapisha Picha kutoka kwa Kompyuta

Kuchapisha Picha kutoka kwa Kompyuta

Epson Photo+ hukuruhusu kuchapisha picha kwa urahisi na vyema kwa mipangilio mbalimbali kwenye karatasi au lebo za CD/DVD (Uchapishaji wa lebo za CD/DVD hutumika tu katika baadhi ya miundo.). Angalia msaada wa programu kwa maelezo.