Uendeshaji unaweza kutofautiana kulingana na kifaa.
Pakia karatasi katika kichapishi.
Kupakia Karatasi katika Mkanda 1 wa Karatasi
Sanidi kichapishi chako kwa uchapishi wa pasi waya.
Ikiwa Epson iPrint haijasakinishwa, isakinishe.
Unganisha kifaa chako maizi kwenye mtandao pasiwaya kilipounganishwa kichapishi chako.
Anzisha Epson iPrint.
Donoa Photos kwenye skrini ya nyumbani.
Donoa eneo kwenye picha eneo unayotaka kuchapisha.
Teua picha unayotaka kuchapisha na udonoe Next.
Donoa Print.