Unaweza kupanga machapisho kwa kuweka mpororo wa kila kikundi cha nakala kwa kuzungusha kwa nyuzi 90 unapochapisha nakala nyingi.
Kipengele hiki hutumia vyanzo viwili vya karatasi. Pakia karatasi kwenye mwelekeo wa taswira kwenye chanzo cha karatasi, pakia karatasi kwenye mwelekeo wa mandhari katika chanzo kingine cha karatasi, na kisha uteue Uteuzi Otomatiki kama mpangilio wa Chanzo cha K'tasi. Teua Uteuzi Otomatiki au Trei Inayoangalia Chini kama mpangilio wa Trei ya Zao. Machapihso yanawekwa kwenye mpororo kwenye Trei Inayoangalia Chini.