Mipangilio ya Uchapishaji (Windows PostScript)

  1. Kwenye Chaguo Mahiri za kiendeshi cha kichapishi, bofya Vipengele vya Kichapishi katika Chaguo za Waraka.

  2. Teua Geuza Mpangilio kutoka Panga.

  3. Weka vipengee vingine, na kisha ubofye SAWA.

  4. Bofya Chapisha.