> Mwongozo wa Paneli Dhibiti > Skrini Inayoonyeshwa Wakati wa Kuchapisha

Skrini Inayoonyeshwa Wakati wa Kuchapisha

Unaweza kuonyesha vidokezo vitakavyoonyeshwa unaposubiri kazi ya uchapishaji ikamilike. Kipengele hiki kinapatikana wakati unachapisha kwa kutumia uchapishaji wa nenosiri au Epson Print Admin Serverless.

Kumbuka:

Vipengee vinavyoonyeshwa unaposubiri vinaweza kusanidiwa na msimamizi katika Usanidi wa Wavuti.

Tazama maelezo husiani hapa chini.