Kuweka Vipengee vya IP-FAX Settings > VoIP Gateway Settings <Epson Device Admin>

Kipengee

Mipangilio na Maelezo

Use VoIP Gateway

Chagua ikiwa utawezesha au kulemaza kutuma na kupokea faksi za IP kupitia VoIP gateway.

Your Phone Number

Weka nambari ya faksi unayotaka kutumia unapotuma faksi za IP kwa vifaa tangamanifu vya faksi ya G3 ukitumia VoIP gateway. Hii huonekana kama kichwa kwenye faksi zinazotoka. Unaweza kuingiza hadi vibambo 20 kwa kutumia 0-9 + au nafasi.

Main Unit URI

Fanya mipangilio ifuatayo.

sip:<<Nambari ya faksi ya IP ya faksi>>* @<<Jina la mwenyeji au anwani ya IP ya printa>>

SIP RX Port Number

Ingiza nambari ya kituo cha kupokea pakiti za SIP zinazoingia kwa kutumia nambari za baiti moja kati ya safu 1 hadi 65535.

SIP TX Transport

Chagua itifaki itakayotumika unapotuma maombi ya SIP kutoka UDP au TCP.

*: Nambari hii ya faksi ni nambari ya faksi ya printa kinachotumiwa kutuma na kupokea faksi za G3. Sajili nambari ya faksi kwenyeVoIP gateway mapema.

Registered VoIP Gateway

Teua kipengee ambacho ungependa kusajili au kuhariri mpangilio wa VoIP gateway, kisha ubofye Edit. Angalia yafuatayo ili kupata maelezo zaidi.

Kusajili VoIP Gateway <Epson Device Admin>

Kipengee

Mipangilio na Maelezo

ID

Huonyesha kitambulisho cha usajili cha VoIP gateway.

Name

Huonyesha jina la VoIP gateway.

IP Address

Huonyesha jina la mwenyeji au anwani ya IP ya VoIP gateway.

Port Number

Huonyesha nambari ya kituo ya VoIP gateway.

VoIP Gateway Priority Settings

Weka masharti ya kutuma na vipaumbele vya VoIP gateway linalotumiwa kutuma na kupokea faksi za IP. Angalia yafuatayo ili kupata maelezo zaidi.

Kuweka Mipangilio ya Masharti ya Kutuma kwa VoIP Gateways <Epson Device Admin>

Kuweka Mipangilio ya Vipaumbele kwa VoIP Gateways <Epson Device Admin>

Kipengee

Mipangilio na Maelezo

Priority

Huonyesha vipaumbele vya VoIP gateway.

VoIP Gateway(ID)

Huonyesha kitambulisho cha usajili cha VoIP gateway kilichosajiliwa kwenye orodha ya Registered VoIP Gateway.

Conditions

Huonyesha nambari ya kwanza ya faksi lengwa (masharti ya kutuma ya VoIP gateway).

Media (T.38) Settings

Kipengee

Mipangilio na Maelezo

T.38 RX Port Number

Ingiza nambari ya kituo cha kupokea data ya T.38 kwa kutumia nambari za baiti moja kati ya safu 1 hadi 65535.

RTP RX Port Number

Ingiza nambari ya kituo ya kupokea RTP (Itifaki ya Usafiri wa Wakati Halisi) data kwa kutumia nambari za baiti moja kati ya safu ya 1024 hadi 65534.