Unahitaji kuweka mipangilio ifuatayo ili kutuma na kupokea faksi za IP kwenda na kutoka kwa kifaa tangamanifu cha faksi ya G3 kupitia VoIP Gateway.
Kuweka maelezo ya SIP kwa printa
Sajili VolP Gateway
Ili kutumia VoIP gateways, unahitaji kuweka kipaumbele kwa VoIP gateways unayotaka kuunganisha baada ya kusajiliwa. Angalia yafuatayo ili kupata maelezo zaidi.
Mipangilio ya Kipaumbele ya VoIP Gateway <Epson Device Admin>
Teua Fax > IP-FAX Settings > VoIP Gateway Settings kutoka kwenye kiolezo cha kusanidi.
Teua kila kipengee.