Kwa kuendesha tu paneli mguso ya kichapishi, unaweza kutuma picha zilizoambatishwa kama viambatisho bila kutumia kompyuta. Unaweza kutumia yoyote kati ya mbinu zifuatazo.
|
Mbinu |
Tuma rahisi ukitumia huduma ya Epson |
Tuma kwa kusanidi seva ya barua pepe |
|---|---|---|
|
Je, unataka kufanya nini? |
Ninataka kutuma barua pepe rahisi ukitumia mipangilio rahisi. |
|
|
Mwongozo wa usanidi |
Kutayarisha Tambaza kwa Wingu Kipengele 1. Sajili kichapishi chako kwa Epson Connect*, huduma ya Epson. 2. Ongeza anwani za barua pepe kwa orodha ya ufikio. |
Kutayarisha Changanua kwa Barua pepe Kipengele 1. Kukagua maelezo ya seva ya barua pepe. 2. Sajili anwai za seva na maelezo mengine ya seva ya barua pepe kwenye kichapishi. 3. Sajili anwani ya barua pepe kwa Waasiliani wako (kwa hiari). |
* Epson Connect ni huduma inayokuruhusu kutumia Intaneti kuunganishwa kwenye vichapishi vyako. Kwa kusajili tu kichapishi na maelezo ya mtumiaji, unaweza kutuma data iliyotambazwa kwa anwani maalum ya barua pepe au huduma ya wingu ya mhusika mwingine. Huduma za Epson Connect zinaweza kubadilishwa bila ilani.
|
Mbinu |
Tuma rahisi ukitumia huduma ya Epson |
Tuma kwa kusanidi seva ya barua pepe |
|---|---|---|
|
Mtumaji |
Anwani ya kutuma pekee ya Epson Connect (haiwezi kubadilishwa) |
Weka anwani yoyote |
|
Mipangilio ya ufikio |
Sajili mapema orodha ya ufikio ya (Epson Connect) |
|
|
Chagua mafikio mengi |
- |
Inapatikana Pia unaweza kusajili mafikio kama kikundi kwenye Contacts. |
|
Jina la kiambatisho |
- |
Inapatikana (hariri kwenye paneli dhibiti) |
|
Mada ya barua pepe |
Inapatikana (hariri kwa ufikio) |
Inapatikana (hariri kwenye paneli dhibiti) |
|
Kiini cha barua pepe |
Inapatikana (hariri kwa ufikio) |
- |
|
Ukubwa wa juu wa kiambatisho |
- |
Inapatikana (hariri kwenye paneli dhibiti) |