> Kuchapisha > Kuchapisha Data kutoka kwenye Kifaa cha Kumbukumbu > Kuchapisha Faili za TIFF kutoka kwenye Kifaa cha Kumbukumbu

Kuchapisha Faili za TIFF kutoka kwenye Kifaa cha Kumbukumbu

Unaweza kuchapisha faili za TIFF kutoka kwenye kifaa cha kumbukumbu kilichounganishwa kwenye kichapishi.

  1. Unganisha kifaa cha kumbukumbu kwenye kituo tayarishi cha USB cha kiolesura cha nje cha kichapishi.

    Kuchomeka Kifaa cha Nje cha USB

  2. Teua Kifaa cha Kumbukumbu kwenye skrini ya nyumbani.

  3. Teua TIFF.

  4. Teua faili.

  5. Weka kila kipengee kwenye Mipangilio Msingi na Mahiri iwezekanavyo, na kisha udonoe .