Kuwezesha Kutuma na Kupokea Faksi za IP Kwa Kutumia Vifaa tangamanifu vya Faksi ya G3 (Kupitia VoIP Gateway)

Unahitaji kuweka mipangilio ifuatayo ili kutuma na kupokea faksi za IP kwenda na kutoka kwa kifaa tangamanifu cha faksi ya G3 kupitia VoIP Gateway.

  • Kuweka maelezo ya SIP kwa printa

  • Sajili VolP Gateway

Muhimu:

Ili kutumia VoIP gateways, unahitaji kuweka kipaumbele kwa VoIP gateways unayotaka kuunganisha baada ya kusajiliwa. Angalia yafuatayo ili kupata maelezo zaidi.

Mipangilio ya Kipaumbele ya VoIP Gateway

  1. Fikia Web Config, na kisha uteue kichupo cha Fax > IP-FAX Settings > VoIP Gateway Settings.

  2. Teua kila kipengee.

  3. Bofya OK.

    Mipangilio inaakisiwa kwenye printa.